Thursday, 29 December 2016

KUNDI LA MUZIKI WA KIZAZI KIPYA LINALO JULIKANA KWA JINA LA ONTOP CLASSIC HUKO ROCKCITY MWANZA

"ONTOP CLASSIC"Ni kikundi cha nyimbo za bongo fleva kinacho julikana kwa jina la ONTOP CLASSIC huko rockcity mwanza kundi hilo la watu watano kama unavyo waona kwenye picha hapo juu kundi hilo linazidi kufanya vizuri pasipo kuwa na management.Hata hivyo mmoja wa group hilo la ontop classic anaye julikana kwa jina la kisaanii@cavierhymes (kulia) alisikika akisema japo tunafanya mziki wa kizazi kipya yaani wa bongo fleva atukufanikiwa kupata management nijambo kubwa ambalo tunamuomba mungu tufanikishe hilo ili tuwe chini ya usimamizi tunaamini tukifanikiwa kupata management tutafika mbali kimziki alisema "cavierhymes" .Hata hivyo kijana huyo akuishia hapo alionge kwa kujiamini kuwa mimi pamoja na wenzangu wa nne tulishilikia kutoa baadhi ya audio pamoja na video ikiwemo wimbo wa "addicted ilio fanyika katika studio ya FAT PRODUCTION inayo simamiwa na Emmanuel msuya yule mshindi aliye shinda BSS 2013.nyimbo nyingine ni jiamini,usichoke.atukuishia hapo tu nilimuhuliza mmoja wa kundi hilo kuwa wana ona nini hapo mbele kupitia mziki wao..Akasikika akisema tuna ndoto kubwa kimziki ili tuweze kufika mbali kimziki kama unavyo jua kuwa mziki ni biashara tofauti na zamani sasa hivi mziki ni kazi iliyo wanufaisha walio wengi walio jikita katika soko hili.
 
Imeletwa kwenu na
projestus mjuni

Friday, 9 December 2016

MASTAA WA TANZANIA WEMA SEETU,ALIKIBA,NA WENGINE WALIVYOSHINDA TUZO ZAASFAS 2016 UGANDA

 Usiku wa kuamkia tarehe 9 December kampala Uganda  ndo siku ambayo zilifanyika zile tuzo za fashion zinazo julikana kama abryanz stly & fashion awards (ASFAS) kumbuka jizo ni tuzo ambazo zilikuwa zilikuwa zina husisha mastaa mbalimbali wa afrika wakiwemo mastaa wa Tanzania
                                         
Tuzo zilizo tolewa na mastaa wa Tanzania kama vanesa mdee alifanikiwa kushinda tuzo ya ( The most stly East Africa ) huku  mrembo wemasepetu akishinda tuzo ya ( best dressed) celebrity East Africa female

 

Maneno 118 ya wizikid kuomba radhi

 Msanii wa Nigeria ambaye amekuwa akifanya vizuri kwa mwaka 2016 Wizkid usiku wa December kuamkia December 8,2016 ameingia kwenye handlines,baadaya ya kuamua kukubali ushauli wa dactari wake kupumzika na kusogeza mbele ratiba ya show zake

Wizkid kupitia account yake ya instagram ameamuwa kuwaeleza mashabiki wake kuhusu ushauri aliyo pewa na daktari wake baadaya ya kufanya show nyingi bila ya kupata hata muda wa kupumzika,Wizkid,Ameandika maneno 118 kuomba radhi mashabiki wake baadaya kuamua kupumzika kufanya show
  

"Team wizkid nimekuwa nikisafiri mfululizo kwa kipindi cha mda wa miaka miwili kufanya kitu ninacho kipenda bila ya kupumzika,nachukuwa uamuzi huu lakini daktari wangu ameniambia niahirishe safari zangu za mwaka huu na mwezi January ili nipumzike

"Naomba radhi kwa mashabiki wangu wote duniani hususani wa Nigeria na Uganda,nawaahidi  kurudi nikiwa vizuri na nikiwa na afya njema,nawaahidi kuwaletea muziki  mzuri  kabla ya mwaka huu kuisha,Niwatakie sikuuu njema ya chrismasi na mwaka mpya

Thursday, 8 December 2016

AUDIO MPYA YA TUNDA MAN DEBETUPU

Tunda man leo tarehe 8,2016 December baada ya ngoma yake kufanya vizuri na hit single yake
wimbo wa wake wa mama kijacho,leo December 8,2016 ameamua kuachia audio ya wimbo wake mpya unaitwa DEBETUPU

MOSE IYOBO AZUNGUMZIA MIMBA YA PILI YA AUNTEZEKIELI

Mose iyobo ambaye ni dancer wa diamond ambaye pia ni mume wa auntyezekieli asikika akifunguka
kuhusu mimba ya pili ya mke wake sikiliza yote kuitia hiyo video

Newsong Nedymusic ft christianbella 'RUDI"


Thursday, 20 October 2016

PICHA 3 ZA RICHIMAVOKO AKIWA KATIKA MWONEKANO MPYA

Na
projestus mjuni
   Msanii wa bongofleva aliye katika rebo ya WCB richimavoko aja na mwonekano mpya wa stley ya nywele.basi nikujuze kidogo mkali kutoka bongofleva richimavoko ameamua kubadilisha muonekan wake wa nywele kama unavyo ona katika picha hizo

KAMATI YA BUNGE YA HUDUMA NA MAENDELEO YA JAMII YAENDELEA KUJADILI MUSWADA WA SHERIA YA HUDUMA ZA HABARI 2016 MJINI DODOMA

Na
PROJESTUS MJUNI
   Kamati ya kudumu ya bunge ya huduma na maendeleo ya jamii pamoja na viongozi wa wizara za habari utamadui  sanaa na michezo  wakiwa katika kikao cha kujadiliana kuhusu muswada wa sharia ya huduma na habari ya mwaka 2016 ambapo wamejadili na kupitia kufungu kwa kifungu katika muswada huo leo oktoba 20,2016
katibu mkuu wa wizara ya habari utamaduni sanaa na michezo prof;Elisant ole Gabriel akifafanua jambo mbele ya kamati ya kudumu ya bunge na maendeleo ya jamii katika kikao cha majadiliano ya muswada wa sharia ya huduma za habari leo oktoba 20,2016
Naibu waziri wa habari utamaduni sanaa na michezo  Mhe.Anastazia wambura(kulia) akifuatilia majadiliano kuhusu muswada sharia ya huduma za habari kati ya kamato ya bunge ya huduma na maendeleo ya jamii na wizara yake leo oktoba

Naibu spika wa bunge la jamuhuri ya muungano wa Tanzania mh,Dkt Tulia Ackson(kushoto) akifuatilia majadiliano  kuhusu muswada wa sharia ya huduma za habari kati ya kamati ya bunge ya huduma na maendeleo ya jamii na wizara husika leo oktoba
Baadhi ya wajumbe wa kamati ya kudumu ya bunge yahuduna na maendeleo ya janii awakifuatilia majadiliano kuhusu muswada wa sharia ya huduma za habari kat ya kamati  hiyo na wizara hisika leo oktoba

posted by projestusblog at Thursday,october 20,2016projestusblog

Monday, 17 October 2016

MAJIBU YA AUNT EZEKIELI KUHUSU UGOMVI WAKE NA EX WA MOSE IYOBO

 
 
 
 
NA
   PROJESTUS MJUNI
ikiwa leo ni tareh 16october  ambapo mwigizaji wa filamu za kibongo Aunt ezekieli amesikika baada ya kurushia vijembe na  aliye kuwa Ex wake na mose iyobo kupitia mitandao yao kijamiii


staa huyo baada ya kuojiwa na akafunguka na kusema,Tunabishana vitu ambavyo vinanifanya mimi kuchukuwa uamuzi wa kuandika vile katika mtandao wakijamii naomba kusema asizungumze na mimi azungumze na mwanaume inakuwaje yeye anakimbilia kwenye mitandao kuhusu iyobo tunagombana kuhusu mwanaume kwahiyo ninacho omba yeye kama mwanamke aangalie njia sahii

Thursday, 8 September 2016

MAMBO MAKUU MATANO YA WAZIRI MKUU LEO BUNGENI

Na,
  projestus mjuni
Kila ifikapo alhamisi katika vikao vya bunge mjini Dodoma huanza kwa kipengele cha maswari na majibu ya wabunge kwenda kwa waziri mkuu wa serikali ya Tanzania,leo septermber 8,2016 utaratibu huo uliendelea ambapo hapa mi,ekusogezea baadhi ya sentensi za waziri mkuu kassim majariwa  ikiwa ni pamoja na matukio ya askari na raia wa kawaida


HABARI ZA MAGAZETI YA ALHAMISI YA LEO TAREHE 08/09/2016

Na,
   Projestus mjuni






zimeandaliwa na projestus mjuni
e-mail .projestusmujuni@gmail.com

YALIO JILI BUNGENI

Zina letwa na,
   projestus mjuni
 wabungewa chadema wakiwa wamesimama kukaidi amri ya naibu spika job ndugai ya kuwataka wakae chini
 wabunge wa chadema wakipambana na polisi,bungeni mjini dodoma
 
 Mbunge wa kuteuliwa na mwenyekiti wa NCCR-mageuzi,James mbatia akishangaa kuona mapambano kati ya wabunge wa chadema na polisi
 
 
 Mbunge wa mbeya mjini,joseph mbilinyi akitolewa na askari polisi njt ya ukumbi wa bunge mjini Dodoma
 Kiongozi wa upinzani bungeni ,freeman mbowe akiongoza wabunge wa CHADEMA kutoka  bungeni mjini Dodoma baada ya kuamriwa kufanya hivyo na naibu spika wa bunge job ndugai
 Mbungewa mbeya mjini akizuiwa na wabunge wa chadema ili asigombane na polisi,Bungeni jijini Dodoma

Tuesday, 6 September 2016

DIAMONDI KUREKODI NA STAR MWINGINE MAREKANI.......?

Na,
    projestus mjuni
Headlines kutoka kwa star wa bongo fleva nchi Tanzania Diamond platinum.Ambaye kwa sasa yuko nchi marekani kwenye maadalizi ya video ya single yake mpya aliyo mshilikisha Neyo.


sasa basi uenda kupitia ngoma zake zime mpa nafasi kubwa kujulikana kimataifa haya ya ulaya na marekani ambapo September 5,2016 kupitia kwenye ukurasa wake wa instagram amepost picha akiwa na staa wa hit single ya down in the DM, Yo gotti na kuyaandika maneno haya >>>>>>>>>>>>>>>>One of the real G have ever met.......can't wait for our record....let's go get e fam

Monday, 5 September 2016

KIZINGITI

Na,
    PROJESTUS KASHAIJA MJUNI
***********************************KIZINGITI

TUKIO LILILO TOKEA HIVI KARIBUNI KWA MADALALI WA NHC KUWATUPIA VIRAGO TANZANIA DAIMA

Na,
     PROJESTUS KASHAIJA MJUNI
Dar es salaam.
                  Madalali wa NHC wamefika katika ofisi za gazeti la Tanzania daima asubuhi ya kuamkia majuzi na kuanza kuondoa vifaa vyao njee kutokana kuwa na deni la pango hilo la mmiliki wa gazeti hilo,FREEMON MBOWE.


Neville meena ambaye ni mhariri mtendaji wa Tanzania daima,amesema wako kwenye msukosuko mkubwa lakini wanafanya jitiada za kukubaliana na hali hiyo ili kuakikisha uzalishaji wa gazeti unafanyika kama kawaida

Sunday, 4 September 2016

SOMA VICHWA VYA HABARI VYA MAGAZETI YOTE YA LEO 05/09/2016

Na,
PROJESTUS KASHAIJA MJUNI
   Ndugu msomaji kupitia blog hii unakaribishwa kutangaza nasi tuma taarifa zako au tutafute utangaze nasi kwa namba 0654639661 au tu e-mail projestusmujuni@gmail.pia unaweza ,kututumia habari,zozote kupitia number yetu.pia unakaribisha kusoma updates,matukio,magazeti kila siku kupitia blog hii


;SOMA VICHWA VYA HABARI VYA MAGAZETI KILA SIKU






























YAMELETWA NA PROJESTUS MUJUNI