Thursday, 8 September 2016

YALIO JILI BUNGENI

Zina letwa na,
   projestus mjuni
 wabungewa chadema wakiwa wamesimama kukaidi amri ya naibu spika job ndugai ya kuwataka wakae chini
 wabunge wa chadema wakipambana na polisi,bungeni mjini dodoma
 
 Mbunge wa kuteuliwa na mwenyekiti wa NCCR-mageuzi,James mbatia akishangaa kuona mapambano kati ya wabunge wa chadema na polisi
 
 
 Mbunge wa mbeya mjini,joseph mbilinyi akitolewa na askari polisi njt ya ukumbi wa bunge mjini Dodoma
 Kiongozi wa upinzani bungeni ,freeman mbowe akiongoza wabunge wa CHADEMA kutoka  bungeni mjini Dodoma baada ya kuamriwa kufanya hivyo na naibu spika wa bunge job ndugai
 Mbungewa mbeya mjini akizuiwa na wabunge wa chadema ili asigombane na polisi,Bungeni jijini Dodoma

No comments:

Post a Comment