Wednesday, 24 August 2016

AMIRI JESHI MKUU JOHN POMBE MAGUFULI NA MAKAMU WA RAISI SAMIA SULUHI NA VIONGOZI WENGINE WAKIWAKATIKA PICHA YA PAMOJA

Na
   PROJESTUS MUJUNI
                                    Amiri jeshi mkuu RaisiDkt john pombe magufuli na makamu wa rais Mhe.samia suruhu Hassani Pamoja nawaziri wa nchi,ofisi ya Rais-Utumishi na Utawala Bora.Mhe.ANGELLAH . J.Kairuki,Mwanasheria mkuu wa serikali.Mhe George masaju na katibu mkuu kiongozi Engineer john kijazi katika picha ya pamoja na viongozi wa vyombovya ulinzi na usalama baada ya kuapishwa kwa mkurungenzi mkuu wa Idara ya maji usalama wa Taifa Dkt Modestus.francis.kapilimba ,ikulu jijini Dar es salaam leo Agosti24,2016


projestus mujuni
E-mail,projestus@gmail.com

(AIRTELL TANZANIA,) AIRTELL MONEY YAGAWA MILLIONI 3 KWA WATEJA NA MAWAKALA

                                                                                                                                                                   

                           AIRTELL_tanzania.kupitia AIRTELL MONEY YAGAWA BILLION 3KWA WATEJAWAKE PAMOJA NA MAWAKALAWAE.Airtel tumetoa gawio la faida la kils kiasi cha shilling billion 3 kwa wateja wake wake  wa airtel money na mawakala wakubwa na wadogo nchi nzima
Airtel imetoa gawio la faida kwa kipindi cha kuanzia mwezi januari hadi juni mwaka huu ambapo kila mteja atalipwa sehemu ya faid kulingana na kiasi cha salio katika akaunti yakeya Airtel money kila siku

chagua Airtel,iliuweze kunufaika na gawio kulingana na salio la ela iliopo kwenye akaunt yako|.Endelea kutumia airtel



for any advertisement
e-mail me,through projestusmujui@gmail.com

ALICHO KIANDIKA RAYMOND WA ( WCB ) BAADA YA KUPEWA ZAWADI YA GARI

Na
   PROJESTUS MUJUNI
22 AUG 2016

            Ilikuwa ni siku ya kuzaliwa kwa Mwanamuziki  raymond kutoka wasafi classic baby ambapo sherehe iyo ilifanyika nyumbani kwa bosi wako ambaye ni diamond platinum huko madale.Katika tafrija hiyo msanii huyo raymond alipewa zawadi ya gari aina ya Rav4 ikiwa kama zawadi.Raymond anakuwa msanii wa pili kutoka WCB.
            Kuzawadiwa gari baada ya harmonize aliye zawadiwa gari aina ya mark x mwezi mei.Baada ya kupewa zawadi hiyo msanii huyo wa wasafi classic byb raymond aliandika kwenye ukurasa wake wa instagram na kusema

        "kweli nimeamini mungu anaupendeleo.nilikuwa mtu niliye Jikatia tamaa ndani ya miaka takribani mi nne nikiwa nikiangaika na muziki wangu nashukuru @diamond platinamz umenifundisha vitu vingi saaaaana hadi leo naiona njia boss wangu @babutale ni mwaka wa tano toka umenijua umenivumilia kwa mengi hadi leo hii ujanichoka na unanisaidia kwa moyo mmoja.boss@sallam_sk nashukuru kwa kunipigania mpaka kufikia hapa nilipo na kuakikisha thamani ya muziki wangu inazidi kupanda na kufikia sehemu nzuri@mkubwafellatmk wewe ni zaidi ya mzazi maan umenilea na kunifundisha mengi kwenye mziki@madeeali sitoacha kukushukuru kaka lao wewe ni kioo naamini unafurahi kuniona mdogo wako hapa nilipo maana unanijua saaaaana.ASANTENI SANA SANA SANA MUNGU PEKEE NDIYE ATAKAE WALIPA KWA WEMA HUU PEKEE HAITOSHI
godisgoodallthetime


for any advertisiment
e-mail me through ,projestusmujuni@gmail.com
follow me instagram as officialprojestus