"ONTOP CLASSIC"Ni kikundi cha nyimbo za bongo fleva kinacho julikana kwa jina la ONTOP CLASSIC huko rockcity mwanza kundi hilo la watu watano kama unavyo waona kwenye picha hapo juu kundi hilo linazidi kufanya vizuri pasipo kuwa na management.Hata hivyo mmoja wa group hilo la ontop classic anaye julikana kwa jina la kisaanii@cavierhymes (kulia) alisikika akisema japo tunafanya mziki wa kizazi kipya yaani wa bongo fleva atukufanikiwa kupata management nijambo kubwa ambalo tunamuomba mungu tufanikishe hilo ili tuwe chini ya usimamizi tunaamini tukifanikiwa kupata management tutafika mbali kimziki alisema "cavierhymes" .Hata hivyo kijana huyo akuishia hapo alionge kwa kujiamini kuwa mimi pamoja na wenzangu wa nne tulishilikia kutoa baadhi ya audio pamoja na video ikiwemo wimbo wa "addicted ilio fanyika katika studio ya FAT PRODUCTION inayo simamiwa na Emmanuel msuya yule mshindi aliye shinda BSS 2013.nyimbo nyingine ni jiamini,usichoke.atukuishia hapo tu nilimuhuliza mmoja wa kundi hilo kuwa wana ona nini hapo mbele kupitia mziki wao..Akasikika akisema tuna ndoto kubwa kimziki ili tuweze kufika mbali kimziki kama unavyo jua kuwa mziki ni biashara tofauti na zamani sasa hivi mziki ni kazi iliyo wanufaisha walio wengi walio jikita katika soko hili.
Imeletwa kwenu na
projestus mjuni