PROJESTUS MJUNI
Dar es salaam
Wanafunzi zaidi ya 120 wa kidato cha kwanza pamoja na wakidato cha pili wa shule ya aliye kuwa mgombea uraisi 2015 kwa tiketi ya chadema mh.lowassa,shule ya lowasa iliyopo makuyuni wilaya ya munduli wanafunzi wamenusurika kifo baada ya bweni lao kuungua moto na kuteketea kwa mali za wanafunzi hao huku baadhi yao wakikabiliana na mitiani ya taifa mwaka huu 2016.
Wanafunzi hao walionusurika kifo wamesema moto huo ulitokea mishale ya saa nane usiku ,wakati wakati wakiwa katika masomo ya ziada na kwamba ulianzakuwaka kwenye milango ya bwenini na akuna kilicho fanikiwa kuokolewa.Mkuu wa wilaya hiyo ya monduli iddi hassan amesema kuwa serikali imeguswa na tukio ilo na wanafunzi wameruhusiwa kurudi manjumbani mwao kwa wiki moja huku serikali ikijipanga
Naye mwenyekiti wa almashauri hiyo anaye julikana kwa jina la issack amesema kuwa hi ni awamu ya pili kutokea kwa moto shuleni hapo kwa kipindi kisicho zidi miezi sita.Pia mbunge wa jimbo hilo la munduli julias kalanga alisema ya kuwa hali ni mbaya kwa wanafunzi hao na tayari wameanza kuchangia baadhi ya vifaa ili watoto hao waweze kurudi shuleni mapema na kuomba kitendo cha maafaa ofisi ya mkuu iangalieshule hiyo kwa jicho la tatu
Write by
Projestus mujuni
E-mail,projestusmujuni