PROJESTUS MJUNI
Dar es salaam
Mwigizaji wa filamu bongo movie Gabo zigamba amepata ajali gari akielekea kutembelea kwenye hifadhi ya ruaha ikiwa ni mda mfupi tu toka alipo tembelea kituo cha watoto yatima na kutoa msahada iringa.
Mwigizaji huyo alipo kuwa akiojiwa,alisema yakuwa ajaumia popote ila alikuwa na wenzake wawili kwenye gari ambayo ndiyo wameumia kidogo ila hali zao zinaendelea vizuri
Writer by
PROJESTUS MJUNI
E-MAIL,PROJESTUSMUJUNI
No comments:
Post a Comment