Monday, 5 September 2016

KIZINGITI

Na,
    PROJESTUS KASHAIJA MJUNI
***********************************KIZINGITI

TUKIO LILILO TOKEA HIVI KARIBUNI KWA MADALALI WA NHC KUWATUPIA VIRAGO TANZANIA DAIMA

Na,
     PROJESTUS KASHAIJA MJUNI
Dar es salaam.
                  Madalali wa NHC wamefika katika ofisi za gazeti la Tanzania daima asubuhi ya kuamkia majuzi na kuanza kuondoa vifaa vyao njee kutokana kuwa na deni la pango hilo la mmiliki wa gazeti hilo,FREEMON MBOWE.


Neville meena ambaye ni mhariri mtendaji wa Tanzania daima,amesema wako kwenye msukosuko mkubwa lakini wanafanya jitiada za kukubaliana na hali hiyo ili kuakikisha uzalishaji wa gazeti unafanyika kama kawaida