Friday, 9 December 2016

MASTAA WA TANZANIA WEMA SEETU,ALIKIBA,NA WENGINE WALIVYOSHINDA TUZO ZAASFAS 2016 UGANDA

 Usiku wa kuamkia tarehe 9 December kampala Uganda  ndo siku ambayo zilifanyika zile tuzo za fashion zinazo julikana kama abryanz stly & fashion awards (ASFAS) kumbuka jizo ni tuzo ambazo zilikuwa zilikuwa zina husisha mastaa mbalimbali wa afrika wakiwemo mastaa wa Tanzania
                                         
Tuzo zilizo tolewa na mastaa wa Tanzania kama vanesa mdee alifanikiwa kushinda tuzo ya ( The most stly East Africa ) huku  mrembo wemasepetu akishinda tuzo ya ( best dressed) celebrity East Africa female

 

Maneno 118 ya wizikid kuomba radhi

 Msanii wa Nigeria ambaye amekuwa akifanya vizuri kwa mwaka 2016 Wizkid usiku wa December kuamkia December 8,2016 ameingia kwenye handlines,baadaya ya kuamua kukubali ushauli wa dactari wake kupumzika na kusogeza mbele ratiba ya show zake

Wizkid kupitia account yake ya instagram ameamuwa kuwaeleza mashabiki wake kuhusu ushauri aliyo pewa na daktari wake baadaya ya kufanya show nyingi bila ya kupata hata muda wa kupumzika,Wizkid,Ameandika maneno 118 kuomba radhi mashabiki wake baadaya kuamua kupumzika kufanya show
  

"Team wizkid nimekuwa nikisafiri mfululizo kwa kipindi cha mda wa miaka miwili kufanya kitu ninacho kipenda bila ya kupumzika,nachukuwa uamuzi huu lakini daktari wangu ameniambia niahirishe safari zangu za mwaka huu na mwezi January ili nipumzike

"Naomba radhi kwa mashabiki wangu wote duniani hususani wa Nigeria na Uganda,nawaahidi  kurudi nikiwa vizuri na nikiwa na afya njema,nawaahidi kuwaletea muziki  mzuri  kabla ya mwaka huu kuisha,Niwatakie sikuuu njema ya chrismasi na mwaka mpya