Friday, 9 December 2016

Maneno 118 ya wizikid kuomba radhi

 Msanii wa Nigeria ambaye amekuwa akifanya vizuri kwa mwaka 2016 Wizkid usiku wa December kuamkia December 8,2016 ameingia kwenye handlines,baadaya ya kuamua kukubali ushauli wa dactari wake kupumzika na kusogeza mbele ratiba ya show zake

Wizkid kupitia account yake ya instagram ameamuwa kuwaeleza mashabiki wake kuhusu ushauri aliyo pewa na daktari wake baadaya ya kufanya show nyingi bila ya kupata hata muda wa kupumzika,Wizkid,Ameandika maneno 118 kuomba radhi mashabiki wake baadaya kuamua kupumzika kufanya show
  

"Team wizkid nimekuwa nikisafiri mfululizo kwa kipindi cha mda wa miaka miwili kufanya kitu ninacho kipenda bila ya kupumzika,nachukuwa uamuzi huu lakini daktari wangu ameniambia niahirishe safari zangu za mwaka huu na mwezi January ili nipumzike

"Naomba radhi kwa mashabiki wangu wote duniani hususani wa Nigeria na Uganda,nawaahidi  kurudi nikiwa vizuri na nikiwa na afya njema,nawaahidi kuwaletea muziki  mzuri  kabla ya mwaka huu kuisha,Niwatakie sikuuu njema ya chrismasi na mwaka mpya

No comments:

Post a Comment