Wednesday, 24 August 2016

ALICHO KIANDIKA RAYMOND WA ( WCB ) BAADA YA KUPEWA ZAWADI YA GARI

Na
   PROJESTUS MUJUNI
22 AUG 2016

            Ilikuwa ni siku ya kuzaliwa kwa Mwanamuziki  raymond kutoka wasafi classic baby ambapo sherehe iyo ilifanyika nyumbani kwa bosi wako ambaye ni diamond platinum huko madale.Katika tafrija hiyo msanii huyo raymond alipewa zawadi ya gari aina ya Rav4 ikiwa kama zawadi.Raymond anakuwa msanii wa pili kutoka WCB.
            Kuzawadiwa gari baada ya harmonize aliye zawadiwa gari aina ya mark x mwezi mei.Baada ya kupewa zawadi hiyo msanii huyo wa wasafi classic byb raymond aliandika kwenye ukurasa wake wa instagram na kusema

        "kweli nimeamini mungu anaupendeleo.nilikuwa mtu niliye Jikatia tamaa ndani ya miaka takribani mi nne nikiwa nikiangaika na muziki wangu nashukuru @diamond platinamz umenifundisha vitu vingi saaaaana hadi leo naiona njia boss wangu @babutale ni mwaka wa tano toka umenijua umenivumilia kwa mengi hadi leo hii ujanichoka na unanisaidia kwa moyo mmoja.boss@sallam_sk nashukuru kwa kunipigania mpaka kufikia hapa nilipo na kuakikisha thamani ya muziki wangu inazidi kupanda na kufikia sehemu nzuri@mkubwafellatmk wewe ni zaidi ya mzazi maan umenilea na kunifundisha mengi kwenye mziki@madeeali sitoacha kukushukuru kaka lao wewe ni kioo naamini unafurahi kuniona mdogo wako hapa nilipo maana unanijua saaaaana.ASANTENI SANA SANA SANA MUNGU PEKEE NDIYE ATAKAE WALIPA KWA WEMA HUU PEKEE HAITOSHI
godisgoodallthetime


for any advertisiment
e-mail me through ,projestusmujuni@gmail.com
follow me instagram as officialprojestus  

No comments:

Post a Comment