Na,
projestus mjuni
Kila ifikapo alhamisi katika vikao vya bunge mjini Dodoma huanza kwa kipengele cha maswari na majibu ya wabunge kwenda kwa waziri mkuu wa serikali ya Tanzania,leo septermber 8,2016 utaratibu huo uliendelea ambapo hapa mi,ekusogezea baadhi ya sentensi za waziri mkuu kassim majariwa ikiwa ni pamoja na matukio ya askari na raia wa kawaida
No comments:
Post a Comment