#BREAKINGNEWS:Zaidi
ya watu 100 wanasadikiwa kuungua moto na kupoteza maisha baada ya tenki la mafuta kuwaka moto Msamvu Itigi mkoani Morogoro.
Saturday, 10 August 2019
Thursday, 8 August 2019
Muandaaji wenu projestus
,projestusmujuni.blogspot.com
Elizabeth michael agosti 6,2019 afunguka kuhusu ndoa yake...
* Lulu Michael ambaye ni mwingizaji wa bongo movie ..amefunguka kuhusu ndoa yake huku akitumia mistari ya Biblia Takatifu kwa kusema kuwa ipo katika Mathayo 25:1-13.
Dar es Salaam. Mwigizaji Lulu Michael ameongea kuhusu ndoa yake huku akitumia mistari ya Biblia Takatifu na kusema kuwa ipo katika Mathayo 25:1-13.
Elizabeth ameeleza hayo jumanne Agosti 6, 2019 kupitia ukurasa wa mtandao wake wa kijamii wa Instagram baada ya kuulizwa swali na mchungaji Mashimo aliyetaka kujua atafunga ndoa lini.
Kiongozi huyo wa dini alitaka kujua jambo hilo akijenga hoja kuwa toka kutangazwa kwa ndoa ya mwigizaji huyo mwaka unakaribia kuisha.
Lulu alivalishwa pete ya uchumba Septemba 30, 2018 na mfanyabiashara Francis Siza maarufu Majizo ambaye ni mmiliki wa EFM redio na TVE.
Akimjibu Mchungaji Mashimo kupitia ukurasa wake huo Lulu amesema, “Kaka yangu jibu la ndoa yangu linapatikana katika kitabu cha Mathayo 25:13 na useme Ameen.”
Kwa mujibu wa andiko hilo mstari wa 13 unasema ‘Basi kesheni kwa sababu hamuijui siku wala saa.”
Wednesday, 7 August 2019
USIPIME UPENDO KWA
1: Kuangalia mara ngapi amekupigia simu kwa siku, kwani wapo walio pigiwa kutwa nzima, lakini bado walikuwa wakiandaliwa kihisia ili apate kile anachotaka alafu anaondoka mazima mazima.
2: kwa kuangalia vitu vya thamani unavyopewa, kwani mwingine huitazama dhiki ulio nayo na ndio uitumia kama chambo, kuwa makini katika kujieleza kwako, kwani nafsi na UTU WAKO ni vya thamani na moyo huugua sana pale unapogundua ulirubunika kwa mtu uliye jiachilia kwake na kumbe yeye alikua mpitaji.
3: kwa kudumu miaka mingi kwenye uchumba, mwingine anaitaji umsindikize katika safiri yake ili baadaye aje atulie na chaguo lake.
4: kwa majuto alio onesha ulipomsimulia historia ya maisha yako ya kale, wala usizame mazima sababu ya kuvutiwa na historia ya mtu
5: kwa kuwa tayari umempa penzi ukadhani ata data na kudumu nawe, uwenda hiyo ndio ikawa njia ya kumpa tiketi ya kuondoka.
NB: Tazama nia usitazame huruma yake tu, wakati wamuitaji akupigie ama akusaidie, au hata adumu nawe yote haya hayamfanyi MTU kudumu nawe.
Bali akiwa na KIASI kwa kila jambo, akionyesha UTU wake wa dhati bila kuongeza chumvi, akiwa na nia ya kweli huku akiithinitisha kwa matendo ya kweli na akifatisha utaratibu, hakika mtafika mahala pale Mungu anataka muwe.
"Lakini tuishike kweli katika upendo na kukua hata tumfikie yeye katika yote, yeye aliye kichwa, Kristo. Katika yeye mwili wote ukiungamanishwa kwa msaada wa kila kiungo kwa kadiri ya utendaji wa kila wa kila sehemu moja moja huukuza mwili upate kujijenga wenyewe katika upendo."
(Wafilipi 4:15-16,)
Projestus.kashaija.mjuni

Tuesday, 6 August 2019
Habari zilizo tufikia leo 6 agust 2019 hii kati ya mechi ilio chezeka leo taifa dar es dalaam
Mechi ya leo ilio chezwa taifa dar es salaam kati ya simba fc pamoja na power Dyanamos fc ambapo simba imejipatia magoli matatu 3 ya kifungwa na meddi kagere huku Dyanamoc kujipatia goli moja tuu likifungwa na dlingai
Simba 3-1 power dynamos
Writter;projestus mjuni

Subscribe to:
Posts (Atom)