Thursday, 29 December 2016

KUNDI LA MUZIKI WA KIZAZI KIPYA LINALO JULIKANA KWA JINA LA ONTOP CLASSIC HUKO ROCKCITY MWANZA

"ONTOP CLASSIC"Ni kikundi cha nyimbo za bongo fleva kinacho julikana kwa jina la ONTOP CLASSIC huko rockcity mwanza kundi hilo la watu watano kama unavyo waona kwenye picha hapo juu kundi hilo linazidi kufanya vizuri pasipo kuwa na management.Hata hivyo mmoja wa group hilo la ontop classic anaye julikana kwa jina la kisaanii@cavierhymes (kulia) alisikika akisema japo tunafanya mziki wa kizazi kipya yaani wa bongo fleva atukufanikiwa kupata management nijambo kubwa ambalo tunamuomba mungu tufanikishe hilo ili tuwe chini ya usimamizi tunaamini tukifanikiwa kupata management tutafika mbali kimziki alisema "cavierhymes" .Hata hivyo kijana huyo akuishia hapo alionge kwa kujiamini kuwa mimi pamoja na wenzangu wa nne tulishilikia kutoa baadhi ya audio pamoja na video ikiwemo wimbo wa "addicted ilio fanyika katika studio ya FAT PRODUCTION inayo simamiwa na Emmanuel msuya yule mshindi aliye shinda BSS 2013.nyimbo nyingine ni jiamini,usichoke.atukuishia hapo tu nilimuhuliza mmoja wa kundi hilo kuwa wana ona nini hapo mbele kupitia mziki wao..Akasikika akisema tuna ndoto kubwa kimziki ili tuweze kufika mbali kimziki kama unavyo jua kuwa mziki ni biashara tofauti na zamani sasa hivi mziki ni kazi iliyo wanufaisha walio wengi walio jikita katika soko hili.
 
Imeletwa kwenu na
projestus mjuni

Friday, 9 December 2016

MASTAA WA TANZANIA WEMA SEETU,ALIKIBA,NA WENGINE WALIVYOSHINDA TUZO ZAASFAS 2016 UGANDA

 Usiku wa kuamkia tarehe 9 December kampala Uganda  ndo siku ambayo zilifanyika zile tuzo za fashion zinazo julikana kama abryanz stly & fashion awards (ASFAS) kumbuka jizo ni tuzo ambazo zilikuwa zilikuwa zina husisha mastaa mbalimbali wa afrika wakiwemo mastaa wa Tanzania
                                         
Tuzo zilizo tolewa na mastaa wa Tanzania kama vanesa mdee alifanikiwa kushinda tuzo ya ( The most stly East Africa ) huku  mrembo wemasepetu akishinda tuzo ya ( best dressed) celebrity East Africa female

 

Maneno 118 ya wizikid kuomba radhi

 Msanii wa Nigeria ambaye amekuwa akifanya vizuri kwa mwaka 2016 Wizkid usiku wa December kuamkia December 8,2016 ameingia kwenye handlines,baadaya ya kuamua kukubali ushauli wa dactari wake kupumzika na kusogeza mbele ratiba ya show zake

Wizkid kupitia account yake ya instagram ameamuwa kuwaeleza mashabiki wake kuhusu ushauri aliyo pewa na daktari wake baadaya ya kufanya show nyingi bila ya kupata hata muda wa kupumzika,Wizkid,Ameandika maneno 118 kuomba radhi mashabiki wake baadaya kuamua kupumzika kufanya show
  

"Team wizkid nimekuwa nikisafiri mfululizo kwa kipindi cha mda wa miaka miwili kufanya kitu ninacho kipenda bila ya kupumzika,nachukuwa uamuzi huu lakini daktari wangu ameniambia niahirishe safari zangu za mwaka huu na mwezi January ili nipumzike

"Naomba radhi kwa mashabiki wangu wote duniani hususani wa Nigeria na Uganda,nawaahidi  kurudi nikiwa vizuri na nikiwa na afya njema,nawaahidi kuwaletea muziki  mzuri  kabla ya mwaka huu kuisha,Niwatakie sikuuu njema ya chrismasi na mwaka mpya

Thursday, 8 December 2016

AUDIO MPYA YA TUNDA MAN DEBETUPU

Tunda man leo tarehe 8,2016 December baada ya ngoma yake kufanya vizuri na hit single yake
wimbo wa wake wa mama kijacho,leo December 8,2016 ameamua kuachia audio ya wimbo wake mpya unaitwa DEBETUPU

MOSE IYOBO AZUNGUMZIA MIMBA YA PILI YA AUNTEZEKIELI

Mose iyobo ambaye ni dancer wa diamond ambaye pia ni mume wa auntyezekieli asikika akifunguka
kuhusu mimba ya pili ya mke wake sikiliza yote kuitia hiyo video

Newsong Nedymusic ft christianbella 'RUDI"