PROJESTUS MJUNI
TEL.0654639661
E-MAIL,projestusmujuni@gmail.com
Leo tarehe moja 1 September kumetokea tukio la kupatwa kwa jua huko jurewa mkoani mbeya wilaya ya mbarali ambapo tukio ilo lililo shangaza wengi la kupatwa kwa jua mkoani humo lilitokea mishara ya saa 4:20 asubuhi hadi saa 7:25 mchana unaaminisha na watahalamu wa anga duniani kote pamoja na wanasanyansi na ,wanafunzi ,pamoja na jamii ya kitanzania walikua rujewa,kusini mwa Tanzania kushuhudia duara la jua linavyo badili kuwa mithili ya pete
kwa matangazo wasiliana nasi kupitia
0654639661
No comments:
Post a Comment