Wednesday, 31 August 2016

KIZINGITI ,ONGEZA SIKU ZA KUISHI

Na
projestus mjuni
E-mail,projestusmujuni@gmail.com

                                                      kizingiti

PALE UNAPO KUWA NA AKILI KUMZIDI MWENZAKO

Na
projestus mjuni
E-mail, projestuamujuni@gmail.com
haaahaaahaaa,pale unapo kuwa na akili za ziada,ili tuu ufanikishe lengo

AKILI ZA WATU WEUPE

NA
PROJESTUS MJUNI
E-MAIL,PROJESTUSMUJUNI@GMAIL.COM
kumbe ata whitepeople wanavituko hivi
wasiliana nasi kupitia 0654639661

Wednesday, 24 August 2016

AMIRI JESHI MKUU JOHN POMBE MAGUFULI NA MAKAMU WA RAISI SAMIA SULUHI NA VIONGOZI WENGINE WAKIWAKATIKA PICHA YA PAMOJA

Na
   PROJESTUS MUJUNI
                                    Amiri jeshi mkuu RaisiDkt john pombe magufuli na makamu wa rais Mhe.samia suruhu Hassani Pamoja nawaziri wa nchi,ofisi ya Rais-Utumishi na Utawala Bora.Mhe.ANGELLAH . J.Kairuki,Mwanasheria mkuu wa serikali.Mhe George masaju na katibu mkuu kiongozi Engineer john kijazi katika picha ya pamoja na viongozi wa vyombovya ulinzi na usalama baada ya kuapishwa kwa mkurungenzi mkuu wa Idara ya maji usalama wa Taifa Dkt Modestus.francis.kapilimba ,ikulu jijini Dar es salaam leo Agosti24,2016


projestus mujuni
E-mail,projestus@gmail.com

(AIRTELL TANZANIA,) AIRTELL MONEY YAGAWA MILLIONI 3 KWA WATEJA NA MAWAKALA

                                                                                                                                                                   

                           AIRTELL_tanzania.kupitia AIRTELL MONEY YAGAWA BILLION 3KWA WATEJAWAKE PAMOJA NA MAWAKALAWAE.Airtel tumetoa gawio la faida la kils kiasi cha shilling billion 3 kwa wateja wake wake  wa airtel money na mawakala wakubwa na wadogo nchi nzima
Airtel imetoa gawio la faida kwa kipindi cha kuanzia mwezi januari hadi juni mwaka huu ambapo kila mteja atalipwa sehemu ya faid kulingana na kiasi cha salio katika akaunti yakeya Airtel money kila siku

chagua Airtel,iliuweze kunufaika na gawio kulingana na salio la ela iliopo kwenye akaunt yako|.Endelea kutumia airtel



for any advertisement
e-mail me,through projestusmujui@gmail.com

ALICHO KIANDIKA RAYMOND WA ( WCB ) BAADA YA KUPEWA ZAWADI YA GARI

Na
   PROJESTUS MUJUNI
22 AUG 2016

            Ilikuwa ni siku ya kuzaliwa kwa Mwanamuziki  raymond kutoka wasafi classic baby ambapo sherehe iyo ilifanyika nyumbani kwa bosi wako ambaye ni diamond platinum huko madale.Katika tafrija hiyo msanii huyo raymond alipewa zawadi ya gari aina ya Rav4 ikiwa kama zawadi.Raymond anakuwa msanii wa pili kutoka WCB.
            Kuzawadiwa gari baada ya harmonize aliye zawadiwa gari aina ya mark x mwezi mei.Baada ya kupewa zawadi hiyo msanii huyo wa wasafi classic byb raymond aliandika kwenye ukurasa wake wa instagram na kusema

        "kweli nimeamini mungu anaupendeleo.nilikuwa mtu niliye Jikatia tamaa ndani ya miaka takribani mi nne nikiwa nikiangaika na muziki wangu nashukuru @diamond platinamz umenifundisha vitu vingi saaaaana hadi leo naiona njia boss wangu @babutale ni mwaka wa tano toka umenijua umenivumilia kwa mengi hadi leo hii ujanichoka na unanisaidia kwa moyo mmoja.boss@sallam_sk nashukuru kwa kunipigania mpaka kufikia hapa nilipo na kuakikisha thamani ya muziki wangu inazidi kupanda na kufikia sehemu nzuri@mkubwafellatmk wewe ni zaidi ya mzazi maan umenilea na kunifundisha mengi kwenye mziki@madeeali sitoacha kukushukuru kaka lao wewe ni kioo naamini unafurahi kuniona mdogo wako hapa nilipo maana unanijua saaaaana.ASANTENI SANA SANA SANA MUNGU PEKEE NDIYE ATAKAE WALIPA KWA WEMA HUU PEKEE HAITOSHI
godisgoodallthetime


for any advertisiment
e-mail me through ,projestusmujuni@gmail.com
follow me instagram as officialprojestus  

Wednesday, 3 August 2016

SHULE YA LOWASSA YAUNGUA TENA 01-08-2016

 Na
    PROJESTUS MJUNI
    Dar es salaam

            Wanafunzi zaidi ya 120 wa kidato cha kwanza pamoja na wakidato cha pili wa shule ya aliye kuwa mgombea uraisi 2015 kwa tiketi ya chadema mh.lowassa,shule ya lowasa iliyopo makuyuni wilaya ya munduli wanafunzi wamenusurika kifo  baada ya bweni lao kuungua moto na kuteketea kwa mali za wanafunzi hao  huku baadhi yao wakikabiliana na mitiani ya taifa  mwaka huu 2016.


             Wanafunzi hao walionusurika kifo  wamesema moto huo ulitokea mishale ya saa nane usiku ,wakati wakati wakiwa katika masomo ya ziada na kwamba ulianzakuwaka kwenye milango ya bwenini na akuna kilicho fanikiwa kuokolewa.Mkuu wa wilaya hiyo  ya monduli iddi hassan amesema kuwa serikali imeguswa na tukio ilo  na wanafunzi wameruhusiwa kurudi manjumbani mwao  kwa wiki moja huku serikali ikijipanga

              Naye mwenyekiti wa almashauri hiyo anaye julikana kwa jina la issack amesema kuwa hi ni awamu ya pili kutokea kwa moto shuleni hapo kwa kipindi kisicho zidi miezi sita.Pia mbunge wa jimbo hilo la munduli  julias kalanga alisema ya kuwa hali ni mbaya  kwa wanafunzi hao na tayari wameanza kuchangia baadhi ya vifaa ili watoto hao waweze kurudi shuleni mapema na kuomba kitendo cha maafaa ofisi ya mkuu iangalieshule hiyo kwa jicho la tatu
 
Write by
       Projestus mujuni
       E-mail,projestusmujuni@gmail.com

MSANII WA FILAMU,SALIM AHMED MAARUFU KWA JINA LA GABO APATA AJALI

Na
    PROJESTUS MJUNI
    Dar es salaam
            
          Mwigizaji wa filamu bongo movie Gabo zigamba amepata ajali  gari akielekea kutembelea kwenye hifadhi ya ruaha ikiwa ni mda mfupi tu toka alipo tembelea kituo cha watoto yatima na kutoa msahada iringa.
         Mwigizaji huyo alipo kuwa akiojiwa,alisema yakuwa ajaumia popote ila alikuwa na wenzake wawili kwenye gari ambayo ndiyo wameumia kidogo ila hali zao zinaendelea vizuri
 
  Writer by
              PROJESTUS MJUNI
              E-MAIL,PROJESTUSMUJUNI@GMAIL.COM