Thursday, 20 October 2016

PICHA 3 ZA RICHIMAVOKO AKIWA KATIKA MWONEKANO MPYA

Na
projestus mjuni
   Msanii wa bongofleva aliye katika rebo ya WCB richimavoko aja na mwonekano mpya wa stley ya nywele.basi nikujuze kidogo mkali kutoka bongofleva richimavoko ameamua kubadilisha muonekan wake wa nywele kama unavyo ona katika picha hizo

KAMATI YA BUNGE YA HUDUMA NA MAENDELEO YA JAMII YAENDELEA KUJADILI MUSWADA WA SHERIA YA HUDUMA ZA HABARI 2016 MJINI DODOMA

Na
PROJESTUS MJUNI
   Kamati ya kudumu ya bunge ya huduma na maendeleo ya jamii pamoja na viongozi wa wizara za habari utamadui  sanaa na michezo  wakiwa katika kikao cha kujadiliana kuhusu muswada wa sharia ya huduma na habari ya mwaka 2016 ambapo wamejadili na kupitia kufungu kwa kifungu katika muswada huo leo oktoba 20,2016
katibu mkuu wa wizara ya habari utamaduni sanaa na michezo prof;Elisant ole Gabriel akifafanua jambo mbele ya kamati ya kudumu ya bunge na maendeleo ya jamii katika kikao cha majadiliano ya muswada wa sharia ya huduma za habari leo oktoba 20,2016
Naibu waziri wa habari utamaduni sanaa na michezo  Mhe.Anastazia wambura(kulia) akifuatilia majadiliano kuhusu muswada sharia ya huduma za habari kati ya kamato ya bunge ya huduma na maendeleo ya jamii na wizara yake leo oktoba

Naibu spika wa bunge la jamuhuri ya muungano wa Tanzania mh,Dkt Tulia Ackson(kushoto) akifuatilia majadiliano  kuhusu muswada wa sharia ya huduma za habari kati ya kamati ya bunge ya huduma na maendeleo ya jamii na wizara husika leo oktoba
Baadhi ya wajumbe wa kamati ya kudumu ya bunge yahuduna na maendeleo ya janii awakifuatilia majadiliano kuhusu muswada wa sharia ya huduma za habari kat ya kamati  hiyo na wizara hisika leo oktoba

posted by projestusblog at Thursday,october 20,2016projestusblog

Monday, 17 October 2016

MAJIBU YA AUNT EZEKIELI KUHUSU UGOMVI WAKE NA EX WA MOSE IYOBO

 
 
 
 
NA
   PROJESTUS MJUNI
ikiwa leo ni tareh 16october  ambapo mwigizaji wa filamu za kibongo Aunt ezekieli amesikika baada ya kurushia vijembe na  aliye kuwa Ex wake na mose iyobo kupitia mitandao yao kijamiii


staa huyo baada ya kuojiwa na akafunguka na kusema,Tunabishana vitu ambavyo vinanifanya mimi kuchukuwa uamuzi wa kuandika vile katika mtandao wakijamii naomba kusema asizungumze na mimi azungumze na mwanaume inakuwaje yeye anakimbilia kwenye mitandao kuhusu iyobo tunagombana kuhusu mwanaume kwahiyo ninacho omba yeye kama mwanamke aangalie njia sahii