SABABU ZA WANAUME KUKOSA HAMU YA KUFANYA TENDO LA NDOA
PROJESTUS BLOG
Karibu Projestus Blog kwa habari za uhakika,
Tuesday, 11 April 2023
SABABU ZA WANAUME KUKOSA HAMU YA KUFANYA TENDO LA NDOA
Kukosa hedhi kwa muda mrefu
Kukosa hedhi kwa muda mrefu
Sababu 8 za kokosa Hedhi na Hedhi Kuvurugika
Mpaka mwisho wa makala hii tayari utakuwa unajua
- Jinsi mzunguko wa hedhi unavofanya kazi
- Nini kinasababisha ukose hedhi kwa muda mrefu au hedhi yako kuvurugika
- Madhara ya kukosa hedhi kwa muda mrefu
- Ushauri nini ufanye na
- Huduma ya dawa asili kurekebisha hedhi yako
Endelea kusoma kupata mwanga na mafunzo zaidi uboreshe afya yako kama mwanamke.
Wanawake wengi wana Tatizo la Kukosa hedhi
Kukosa hedhi au kubadilika kwa mzunguko wa hedhi inaweza kuwa tatizo kubwa kulitatua. Kwasababu hedhi ndio kiashiria chema kuonesha hadhi ya mwanamke. Kama ukikosa hedhi lazima utaanza kupata msongo wa mawazo na kukosa amani.
Kukosa hedhi na kuvurugika kwa mpangilio wa hedhi huwakumba wanawake wengi sana kwa sasa hasa kutokana na mitindo ya maisha inayopelekea kuvurugika kwa homoni za kike.
Mpangilio wa hedhi unaratibiwa na vichocheo kutoka kwenye tezi na ubongo, kwa hivo ni muhimu kurekebisha mtindo wa maisha unaovuruga homoni zako na kukupelekea kuvurugika kwa hedhi.
Hatari ya Kuvurugika na Kukosa Hedhi ni Kubwa
Kwa mwanamke ambaye ni mzima wa afya kikawaida hutoa yai moja lililokomaa kila baada ya siku 25 mpaka 28 tayari kwa kurutubishwa na mbegu ya kiume kwenye siku za hatari. Japo mzunguko wa hedhi kwa kila mwanamke unatofautiana, wanawake wengi wenye afya njema mzunguko wao huchukua mwezi mmoja.
Mwanamke anapokoma kupata hedhi kabla ya kipindi chake inaonesha kwamba kuna tatizo la kiafya. Kupata hedhi ya kawaida isiyoambatana na maumivu makali kila mwezi ni kiashiria kwamba homoni zako zimebalansi na mfumo wako wa uzazi unafanya kazi ipasavyo.
Homoni Kuvurugika ni Chanzo cha Kukosa Hedhi
Kinyume chake pia ni ukweli kwamba ukiwa unakosa hedhi, hedhi isiyo na mpangilio mzuri, maumivu makali wakati wa hedhi na hedhi kuchukua siku nyingi zaidi ya 7 ni kiashiria kwamba homoni zako zimevurugika. Kama una uhakika kwamba huna ujauzito na unakosa hedhi basi siyo kitu cha kuchukulia kawaida unahitaji kujua chanzo cha tatizo na kuchukua hatua.
Tafiti nyingi ziansema kwamba kundi kubwa la wanawake huficha jambo hili na kutoliripoti kwa dactari pale wanapokosa hedhi mara kwa mara. Kitendo hiki ni hatari kwani kukosa hedhi na kuvurugika kwa homoni kunaweza kuletekeza matatizo mengine makubwa ya kiafya kama, magonjwa ya moyo, kupungua kwa nguvu ya mifupa, na ugumba.
Jinsi Mzunguko wa Hedhi Unavofanya Kazi
Kikawaida kila mwezi mwanamke hutoa yai moja ili lirutubishwe kutengeneza kichanga. Pale yai lisipotolewa kwenye kikonyo chake tunaita anovulation. Moja ya dalili kwamba mayai yako yanapevuka lakini hayatolewi ni kukosa kabisa au kuvurugika kwa hedhi.
Kwa wanawake wasio na ujauzito wenye umri wa kuzaa kuanzia miaka 15 mpaka 40 na hawapati hedhi, hiki ndio kisababishi cha kushindwa kushika mimba kwa karibu 30%.
Homoni
Mpangilio wa hedhi unaratibiwa na vichocheo au homoni za mwanamke hasa estrogeni. Homoni za estrogen husaidia kujenga ukuta na mazingira mazuri kwa ajili ya ukuaji wa kiumbe kinachozalishwa. Mwanamke akishakoma hedhi uzalishaji wa estrogen hupungua sana na ndio maana unaanza kukosa siku zako.
Kwa wanawake walio kwenye umri wa kuzaa, kuwa na kiwango kidogo sana cha estrogen husababisha kukosa hedhi na kuvurugika kwa mpangilio wa hedhi. Kwahivo unapoenda hospitali kishiria cha kwanza kwamba una kiwango kidogo cha estrogeni ni ikiwa unakosa siku zako.
Sababu za mara kwa mara Zinazopelekea Kukosa hedhi na Kuvurugika kwa Mpangilio wa Hedhi.
Ukiachilia mbali ujauzito na kukoma hedhi ambavyo vyote hivi ni vipindi vya kawaida kwa mwanamke kukosa hedhi. Zifuatazo ni sababu ambazo hupelekea mwanamke kukosa hedhi
1.Msongo wa Mawazo
Kikawaida mwili unapokutana na kitu cha kuogofya ama kinacholeta msongo wa mawazo unatunza nishati kubwa ili kuzielekeza kupambana na changamoto iliyopo mbele yako. Kwa hivo kila mara unapokuwa na msongo wa mawazo utendaji wa shuguli zingine za mwili unapungua na kudhoofika ikiwemo upevushaji wa mayai.
Homoni ya estrogen inapozalishwa kwa kiwango kidogo pamoja na homoni zingine kama homoni ya LH na FSH ukuta ambao humeguka kila mwezi kutoka pamoja na yai hautajengwa na hivo kupelekea ukose hedhi.
kwanini mwili unapunguza kasi ya upevushaji wa mayai wakati wa msongo wa mawazo?
Mwili unatambua kwamba upo kwenye kipindi cha hatari na unatakiwa upambane ili uishi kutokana na hatari inayokuwa mbele kwa hivo maisha ni kitu cha kwanza ndipo swala na hedhi lifuate. Mwili utatengeneza stress homoni kwa wingi kama cotisoli na adrenalini ili kukuandaa kupambana, ama kukimbia hatari iliyopo mbele yako.
Fikiria pale unapotembea usiku na ukaona kitu kisicho cha kawaida mbele yako, tazama mwili unavobadilika, sasa mabadiliko ya homoni pale unapokutana na kitu cha hatari ni sawa na vile unapopata msongo wa mawazo. Kadiri mawazo yanavokuathiri ndipo unaharibu mpangilio wako wa mwili na kukupelekea ukose hedhi.
2.Lishe Mbaya
Lishe mbaya yenye upungufu wa virutubisho ikiwemo vitamini na madini na yenye sukari na viambata vya kuongeza ladha kwa wingi hupelekea tezi za Adrenal na Thayroid kufaya kazi kupita kiasi. Kitendo hichi hupelekea uzalishaji wa kichocheo cha cotisoli ambacho kinapunguza uzalishaji wa homoni za uzazi.
Cortisol inapokuwa nyingi zaidi pia taweza kuletekeza madhara mwilini kama udhaifu wa mifupa, ngozi kuharibika, tishu za ubongo na misuli kudhoofika. Kwahivo mtiririko huu unapojirudiarudia kila mara ndipo hali ya mwili huwa mbaya zaidi.
3.Uzito Mdogo Kupita Kiasi
Ili kupima uzito wako kama uko sawa kiafya, tunatumia kipimo cha BMI yaani body mass index ni kipimo kinachotumika kupima uwiano wa uzito na urefu wako. BMI= Uzito wako kwa kg gawanya kwa (urefu kwa mita x 2). BMI kuanzia 18.5 mpaka 25 inaonesha kwamba uzito wako ni mzuri. Ukipata zaidi ya 25 manake uzito wako ni mkubwa na ukipata chini ya 18.5 ni kwamba una uzito mdogo kupita kiasi.
Mafuta mwilini huchochea uzalishaji wa homoni ya estrogeni kwa wanawake na ndio maana wanawake wembamba sana hukosa hedhi maranyingi zaidi. Kufanya mazoezi makali hupelekea mahitaji ya virutubisho mwilini kuongezeka na hivo uzito kupunguakupta kiasi na kuvurugika kwa homoni.
4.Kufanya Mazoezi Kupita Kiasi
Mazoezi ni muhimu kwa mwili katika kurekebisha athari za msongo wa mawazo, kuweka sawa shinikizo la damu, usingizi mzuri na kuweka sawa uzito wamo. Ila kumbuka kufanya mazoezi kupita kiasi kunachosha sana mwili kupelekea uzalishaji mkubwa wa cotisoli ambayo ndio kizuizi cha kuzalishwa kwa homoni za uzazi. Kwahivo hakikisha unafanya mazoezi mara 3 kwa week na yasiwe mazoezi yanayokula nguvu yako nyingi na kukuacha mdhaifu.
5.Matatizo Kwenye Tezi ya Thairodi.
Tezi ya thairodi ni kiungo chenye umbo la kipepeo. Kiungo hichi kipo kwenye shingo chini ya koromeo la sauti. kazi kuu ya Tezi hii ni kuzalisha homoni za (T3) na (T4), ambazo kwa pamoja hufanya kazi ya kurekebisha mzunguko wa damu na kazi mbalimbali za mwili. Matatizo kwenye tezi ya Thairodi kama kushuka kwa uzalishaji wa homoni ama tezi kufanya kazi kupita kiasi huweza kuleta mabadiliko pia kwenye kiwango cha estrogeni na cotisoli. Kiwango cha cotisoli kwenye damu kinapokuwa kingi hupunguza uwezo wa tezi ya thairoidi ambapo matokeo yake ni kushuka kwa kazi za mwili kama upevushaji wa mayai na uzalishaji wa homoni za kike
6. Matumizi ya dawa za kupanga uzazi
Baadhi ya wanawake hukosa hedhi kwa muda mrefu baada ya kuacha kutumia vidonge vya uzazi wa mpango. Japo madactari hushauri kwamba hali itakaa sawa baada ya kuacha kumeza vidonge lakini bado hali huwa mbaya kwa wanawake wengine kwani tayari vidonge vimevuruga vichocheo. Kikawaida mpangilio wa hedhi unakuwa na kipindi cha kupanda na kushuka kwa homoni za estrogeni na progestene kwa kupishana, lakini vidonge vya uzazi wa mpango hufanya estrogeni kuwa juu muda wote na kuudanganya mwili kwamba una ujauzito wakati huna na hivo kukosa hedhi kabisa. Inachukua miezi ama miaka mingi mpaka mwili kurudi kwenye hali yake ya kawaida.
7.Ugonjwa wa PCOS
Polycyst ni wingi wa neno cyst, Neno cyst ni kitu chenye uwazi kwa ndani na kimezungushiwa ukuta mwembamba na laini (Membrane). Na mle ndani kunaweza kukaa damu,usaha,maji nk. kwa upande wa mwanamke hizo follicles nyingi ambazo zimekomaa na zimeshindwa kutoa mayai zinafanishwa na Cysts .Sasa inapotokea Kila mwezi hupati hedhi na vimbe hizi zinakuwa nyingi tunaziita Polycyst.
Na mkusanyiko wa dalili mbalimbali kama uzito mkubwa na kitambi, kupanda kwa sukari kwenye damu, kuwa na chunusi nyingi, kuota ndevu na hedhi kuvurugika ndizo tunaziita syndrome au Polycystic Oarian syndrome. Wanawake wenye PCOS hukosa hedhi kutokana na kuvurugika kwa homoni zao.
8.Alegi ya Vyakula
Mwili kushindwa kuchakata baadhi ya vyakula kama vyakula vya ngano na maziwa ama kuwa na aleji na vyakula baadhi husababisha mwili kukosa virutubisho muhimu na hivo kuzalisha magonjwa sugu
Tumia Evecare kurekebisha hedhi yako
Evecare ni dawa asili na imetengenezwa nchini India kupitia mimea ya Ashoka, Asaparagus na lodh tree. Kwa miaka zaidi ya mitano ambayo tumekuwa tukihudumia wagonjwa wetu wa matatizo ya hedhi na homoni, tumepokea shuhuda lukuki. Evecare inakuwa na vidonge 30, unameza vidonge viwili kila siku kwa muda wa wiki mbili.
Baada ya kutumia Evecare tegemea kupata matokeo haya
- Hedhi kutoka vizuri kwa siku chache siyo zaidi ya siku 4 ama 5
- Maumivu makali ya tumbo wakati wa hedhi kuisha kabisa
- Homoni kubalansi
- Kupata hedhi nyepesi ya kawaida
- Mzunguko wa hedhi kurekebika na kuanza kupata kila mwezi
- Kizazi kuimarika sana hata kuongeza chansi ya kushika mimba kama wewe ni muhanga wa kukosa mimba kwa muda mrefu.
Bei ya Evecare ni Tsh 75,000/= Tunapatikana Dar salaam, Mwembechai.
Ushuhuda wa Kupona Baada ya kutumia Eevecare
ANGALIZO
Kuna wimbi kubwa la wajasiliamali mitandaoni wanauza vidonge feki vya evecare, tena wanauza kwa bei rahisi sana. Watu hao siyo madaktari wala siyo wataalamu wa afya na wanauza bidhaa feki ambazo ni hatari wa afya yako. Wengi wao hawana hata ofisi, ukipata madhara unakosa pa kuuliza. Kuwa makini na watu hao, wamejaa sana insta na fb.
SABABU ZA MWANAMKE KUKOSA HEDHI KWA WAKATI
SABABU ZA MWANAMKE KUKOSA HEDHI KWA WAKATI
FAHAMU SABABU ZA MWANAMKE KUKOSA HEDHI /KUTOPATA HEDHI KATIKA MPANGILIO MAALUMU (AMENORRHEA)
Elimu kwa wanawake na wasichana kuepukana na magonjwa mbalimbali yanayosababisha kukosa hedhi iliyo salama, kutokana na maswali yenu ya kwanini mwanamke huwa anakosa hedhi ilhali Hana mimba??nimeona ni vyema kuelezea hili tatizo kwa undani ili muweze kutambua vizuri tatizo hili ambalo kitaalamu linajulikana kama AMENORRHOEA
AMENORRHEA NI NINI??
hii ni hali ya mwanamke ambaye amepevuka na kukomaa maumbile yake ya Uzaz kushindwa kupata hedhi/kupitiliza siku za hedhi
~kwa ufupi tatizo hili limekua likiwakumba na kuwaletea usumbufu wa kisaikolojia wanawake wengi wakidhani kwamba wamepata ujauzito nk, hata hivyo tatizo hili la kukosa hedhi linaweza kutokea awali au baadae kabisa maishani
~kuna aina mbili za tatizo hili (amenorrhea)
(1)PRIMARY AMENORRHEA ~hii ni hali ya kukosa hedhi inayomtokea mwanamke/msichana aliye katika umri wa kuvunja ungo ambapo Hali hii huweza kuendana na kutopata mabadiliko ya kimaumbile yanayoambatana na kuvunja ungo kama vile KUOTA NYWELE SEHEMU ZA SIRI, KUOTA MATITI, NK ila bado hapati siku zake
(2)SECONDARY AMENORRHEA ~hii ni hali ya kukosa hedhi inayomtokea mwanamke ambaye si mjamzito wala hanyonyeshi na ambaye hajakoma hedhi na wala hatumii dawa za Uzazi wa mpango ambapo awali alikua akipata hedhi kama kawaida Lakini akasimama kwa muda huenda ni miezi au mwaka mzima hapati hedhi mpaka sasa
~NAMNA AMBAVYO MWANAMKE HUPATA HEDHI
Kwa Kawaida ili mwanamke apate hedhi katika mzunguko ulio Sawa ni lazima tezi ya hypothalamus na pituitar pamoja na kiwanda cha mayai(ovaries) viwe vinafanya kazi kwa ushirkiano yani sawasawa
~VYANZO VYA TATIZO HILI
Vyanzo vya tatizo hili vyaweza kuwekwa katika Makundi makuu matatu ambayo ni vile vinavyohusisha matatizo katika mfumo wa homoni, vile vinavyohusisha matatizo katika tezi ya pituitar, mfumo wa Uzazi na vile vinavyohusisha mabadiliko katika mwili wa mwanamke visababishi hivyo ni ÷
matatizo katika hypothalamus ambapo matatizo haya husababisha ÷uvimbe katika ubongo karibu na tezi ya pituitar, ukosefu au upungufu wa homoni zinazochochea kukua na kufanya kazi kwa via vya Uzazi,
uzito mdogo kuliko Kawaida
pituitar kushindwa kufanya Kaz vzur baada ya seli zake kufa hii ni iwapo mama alipoteza damu nyingi wakati wa kujifungua
kuwepo kwa kiwango kikubwa cha homoni ya prolactin katika damu (PROLACTINEMIA)
(proclatin ni homoni inayochochea uzalishaji wa maziwa wakati wa kunyonyesha hivyo Hali ya kuwa proclatin nyingi katika damu husababisha kukosa hedhi
kuwa na msongo wa mawazo ni hatari
kuziba kwa utando unaozunguka uke (HYMEN) hivyo kukosekana tundu la kupitishia damu (IMPERFORATE HYMEN)
Mazoezi makali ya mwili na ulaji mdogo wa Chakula, tabia hii hushusha homoni ambayo inahusika na kuweka siku zako katika Hali nzuri yani hufanya leptin kuwa katika kiwango cha chini sana hivyo ni hatari
ugonjwa wa kurithi wa GALACTOSEMIA unaoambatana na kuwa na kiwango kidogo cha sukari aina ya GALACTOSE katika damu
baadhi ya magonjwa ya viungo vya Uzazi yamekua yakiambatana na kusimama kwa hedhi mfano wa magonjwa hayo ni POLYCYSTIC OVARIAN SYNDROME
MENO PAUSE ~hii ni hali ambayo hutokea kipindi cha miaka 42_55 homoni zinazohusika na kupata hedhi huwa Kwenye kiwango cha chini sana kiasi hufanya haziwezi kufanya Kazi sawasawa
DALILI ZA TATIZO HILI
Mwanamke kuwa na vinyweleo vingi na kuota ndevu hii inamaanisha na kuashiria kuwepo kwa kiwango kikubwa cha homoni za kiume za ANDROGEN
kuongezeka uzito kupita kiasi
matiti kutoa maziwa wakati mwanamke si mjamzito wala hanyonyeshi
mwanamke kuwa na mhemko kuliko Kawaida
uke kuwa mkavu
kutokwa jasho sana wakati wa usiku
mabadiliko katika kupata usingizi vinaweza kuashiria kuwepo kwa tatizo katika ovaries
kutokupata hedhi katika mpangilio
MATIBABU
NA JINSI YA KUJIKINGA NA TATIZO HILI
matibabu ya kukosa hedhi yanaweza kutibiwa hospital kutokana na chanzo cha tatizo ambapo huwa ni kupewa dawa au kufanyiwa upasuaji pale patapobidi
NOTE :Ni vizuri kuongea na daktari ili ajue ni kwa namna gan atakusaidia pia waweza kufanya mambo yafuatayo ili kujiepusha na tatizo hili
ZINGATIA ULAJI ULIOSAHIHI AMBAO UNAHUSISHA ULAJI WA MATUNDA KWA WINGI NA MBOGA ZA MAJANI
TUMIA MAZIWA YA SOY /JUICE YA WATERMELON/MAJI YA MSHUBIRI
FANYA MASAJI KWENYE TUMBO LA CHINI KWA KUTUMIA MAJI YA UVUGUVUGU (UKIWA KTK BREED) HII ITASAIDIA KUONGEZA DAMU NYINGI KUTOKA
KULA CHAKULA KISICHOTOKANA NA DAMU (VEGETARIAN DIET) CHENYE PROTIN NYINGI MFANO, NAZI, MAHARAGE, KOROSHO NA KARANGA
Hakikisha unazingatia haya ili kuepukana na madhara ya huu ugonjwa ambayo ni makubwa sana
MADHARA YANAYOWEZA KUTOKEA IWAPO TATIZO HILI HALITAPATIWA MATIBABU
Mwanamke kuchelewa kuingia menopause hali huu ni mbaya kwani husababisha SARATAN YA MATITI kwa kias kikubwa
mwanamke kupata maumivu wakati wa tendo la ndoa kwasababu ya kupungua kwa hamu ya kufanya mapenzi na uke kuwa mkavu
husababisha matatzo ya kutopata usingizi
matiti husinyaa na kupata hedhi Bila mpangilio,
ndugu msomaji Asante kwa kuwa Nami muda wote kutoa elimu hii kwa jamii kama una